Leo katika Historia: Simba S.C

Leo katika Historia: Simba S.C


Makuta hebu nieleze hapo, ilikuaje yaani. Tupe story!

Ni kwamba timu ya Simba Sports Club imefungwa goli moja kwa bila na timu ya Manispaa ya Kinondoni katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa chuo cha biblia mjini Mjini Morogoro jioni ya jana na washabiki wa Simba wakaleta zogo,yaani hawakuamini kilichotokea kwa kua walishazoea kushinda katika mechi za majaribio walizocheza lakini leo imekuwa tofauti.
 
Back
Top Bottom