LEO KATIKA HISTORIA

LEO KATIKA HISTORIA

Meragraphics

Member
Joined
Dec 23, 2024
Posts
37
Reaction score
45
Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan alipohudhuria kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa kisiasa.
b9f441e17de6c81daaa4e26356dd8023.jpg
 
Hawa jamaa sijui huwa wanaona fahari gani kuuwana ovyo! Na majirani zao India ukoo wa Gandhi ulimalizwa hivi hivi kwenye mauwaji ya kisiasa angalau nowadays wameanza kustaarabika.
 
Hapo ndo unapokuja msemo kuwa siasa Mchezo mchafu
 
Back
Top Bottom