Meragraphics
Member
- Dec 23, 2024
- 37
- 45
Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan alipohudhuria kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa kisiasa.