Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,
imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Anastasia21