Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
- #21
Acha basi πππDa ulivyo sema "mbuga wanyama wanaruka ruka bwana rostam azizi alishituka vibaya sana ...kumbe ulikuwa unazungumzia nyapu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basi πππDa ulivyo sema "mbuga wanyama wanaruka ruka bwana rostam azizi alishituka vibaya sana ...kumbe ulikuwa unazungumzia nyapu
Hizi simulizi za fisi kukabidhiwa bucha ama fisi kuokoka zinafaa kuandikwa katika simulizi za riwaya ili kufundishia watoto wa shule.Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Natunza na nisipo kua fukara utanijua vyemaππHapo ndio mwanzo wa kuteseka na kuwa fukara.....tunza msg yangu hii baada miaka 5 utanikumbuka
Mbona makapuku Tena πππKuzileta humu kusimulia 'makapaku' huwa mnakosea sana.
Dawa gan mkuu mbona muoga wa maisha kula nyama kama meno IPOπͺhuyu aiza aambiwe kama trump keshakata misaada ya dawa au aachwe aje kuangukia pua
Ivi sehem kama hii muhusika anatokaje ikiwa mda wote huduma inatakiwa kutolew au ndo unasema kijanja Ili nipige picha na mm nionekane sio ππππKwanza mouse umeishika kiwizi wizi kwa pembeni kama vile muhusika alitoka mara moja kwenda msalani chap uka snap, shiii
Mzeee mwenzangu tatizo iloooooπππAlafu kuna yale mauzi yako unaletaga kama unaombwa ushauri πππ aisee
Yap ayo mkuuπ€·π½ββοΈπAlafu kuna yale mauzi yako unaletaga kama unaombwa ushauri πππ aisee
Luka Luka?Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Najiulizaga huyu jamaa ana karama gani daily mademu wanamfata kumuomba ushauri πππ una mafix hatari bomboclaaat ππMzeee mwenzangu tatizo iloooooπππ
Seeing is beleiving, sema mwana unakula kiyoyozi tu πIvi sehem kama hii muhusika anatokaje ikiwa mda wote huduma inatakiwa kutolew au ndo unasema kijanja Ili nipige picha na mm nionekane sio ππππ
Si nasikia zile za misaada haziji tenaLeo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Fanya juu chini nitumie namba yake....ntakupa elfu 50!Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
We uliskia wapiππFanya juu chini nitumie namba yake....ntakupa elfu 50!