Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Hizi ndio ndio account za kuignore,ukiwa jamii forum,zingine ni zile za kusifia Kila kitu,hata mvua ikinyesha utasikia,mama kaleta mvuaLeo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Kuvurugwa is InevitableLeo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Kidumu CHAMA CHA ma jobless pro maxSawa mkuu tushajua una kazi, hongera sana endelea kuchapa kazi kwa bidii ili bosi asipate hasara. Intelligent businessman ni Mwenyekiti wetu wa Majobless pro max
Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
Kama Ina kitu hii mkuuπ€·π½ββοΈππ½ππ½Mbona kauli ni nzuri, umekaribishwa uombe mechi we unajifanya kulaza damu, acha kumpotezea demu wa watu
Da ulivyo sema "mbuga wanyama wanaruka ruka bwana rostam azizi alishituka vibaya sana ...kumbe ulikuwa unazungumzia nyapuLeo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,View attachment 3268957imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata kujiongezaaaaa Kisha akaniaga akaondoka,sijapenda hii kauli yake kwakweli.
Anastasia21
ππHizi ndio ndio account za kuignore,ukiwa jamii forum,zingine ni zile za kusifia Kila kitu,hata mvua ikinyesha utasikia,mama kaleta mvua
Aaah mkuu mbona umefika ukoππππSawa mkuu tushajua una kazi, hongera sana endelea kuchapa kazi kwa bidii ili bosi asipate hasara. Intelligent businessman ni Mwenyekiti wetu wa Majobless pro max
Ule wimbo wa jay combat unahusikaBora waliokosa ajira kuliko walio na ajira.
Sasa ushema dedree veta kufanya nnππNyie mafala na degree zenu za kijinga hizi ni Bora mwende VETA mkajifunze kupamba maharusi