IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
Aiseeee
Anakuambia hayakuwa ni maandamano ya amani
Anakuambia hayakuwa ni maandamano ya amani
Atokee kichaa mmoja kama aloyempiga kibao mzee Mwinyi.
Ungependa ripoti ya Mzee Chande, itoe Maoni yapi?
Report ya chande imetuvua nguo watzLeo Chande atatukumbusha wapendwa wetu waliouawa na polisi kwa kupigwa risasi za kichwa.
Leo tutakumbushwa yule mama wa Arusha aliyepigwa risasi ya mgongo akiwa na mimba ya miezi mitatu.
Leo tutakumbushwa wale vijana wa Mwanza waliokuwa wanaangalia mpira wakatolewa nje wote wakapigwa risasi.
Kwa mara nyingine tena leo itasikika vichwani mwetu ile sauti ya "hakuna cha nywinywi wala nywinywinywi".
Leo ni vilio kila sehemu, vilio vipya vya uchungu, ni siku ya maombolezo, siku ya kuililia mama Tanganyika.
Mungu atupe moyo mkuu.
Rest In Peace Mo29 Heroes.
Kwahy hakuna mauji yaliyotokea? Sio kila Mzee ana busaraReport ya chande imetuvua nguo watz
Tumevuliwa nguo kuonekana watz wote hatuna akili, iyo report ni takataka, Dunia inaujua ukweli alafu unakuja na report ya kipumbavu namna ile,Kwahy hakuna mauji yaliyotokea? Sio kila Mzee ana busara
Ki ukweli, Watanzania mnaonewa sanaTumevuliwa nguo kuonekana watz wote hatuna akili, iyo report ni takataka, Dunia inaujua ukweli alafu unakuja na report ya kipumbavu namna ile,
Kweli mkuu ,uonevu kwa watanzania umefika katika hatua mbaya na ambayo haivumiliki ,ila yana mwishoKi ukweli, Watanzania mnaonewa sana
Mbaya Zaidi wanawaonea na ujeuri juuKweli mkuu ,uonevu kwa watanzania umefika katika hatua mbaya na ambayo haivumiliki ,ila yana mwisho