usicheleweNitarud baadae
[emoji23][emoji23][emoji23] naniliu ndo nini ccm?Akiniomba hela naitikia ndio ntampa Alafu napotezea..... Kaomba nimnunulie naniliu nikaitikia kasubiiri kaona Bila Bila....dah akachoka kuvumilia.
Akaamua kuniacha......
I really miss her..... mwenyewe alikuwa ananiita ccm badala ya sumbai sijui kwanini
Sijui.... Paka Leo sijamuelewa.[emoji23][emoji23][emoji23] naniliu ndo nini ccm?
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
Inonekana moyo una maumivu makali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikua dem wa mizinga sana anajisikia,easily tempered, egoistic in nature, full of pomposity, mmbea sana, mpika majungu, arrogant ,daaah ni mengi sana nlimwacha last month!
[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui.... Paka Leo sijamuelewa.
Acha tuu mkuu...she was very cute black beauty yaan full maumivu bt let it go...nmeamua kwenda kuongeza shule ili kelele za unaoa lini ziishe pia ili nipate peace of mind....yaan niko very strict siku hizi linapokuja swala la women..maybe after two years za masomo nitakaa sawa.Inonekana moyo una maumivu makali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani ina TV ndani? [emoji23] [emoji23] [emoji23]1. Wivu
2. Ub abaifu
3. Mchoyo
4. Nilijisikia tu
5. Nilimchoka
6. Dume Suruali
mkuu,,tunakesi saresare..Mi Dem wng nishashindwa kuachana nae aisee, Tunapumzkaga tu