Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado una hasira tu mamiiMambo yangu yanakuhusu nini
Team Mandingo.......Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
Mmh howAlirudi kwao na mimi sikuwa tayari kumfuata
Mmh how
Hahaha now nimeelewa. Nikajua alirudi kwa baba yakeMkuu mambo ya kwenda kuanza maisha Kolomije inabidi ujipange
Mpaka wewe hahaha yalaaniwe mahaba1. Wivu
2. Ub abaifu
3. Mchoyo
4. Nilijisikia tu
5. Nilimchoka
6. Dume Suruali
Ina sub woofer ndani?Nini?
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
Niaje jombaa nipo hapa kwa matejoo chalii anguAsee eroo kama ni hivyo uli react vizuri...poa haina pang'ang'a but ile kikawaida utakua unaumia ile kisoro asee...anyway uko wapi tupeane angalau kirikuu cha safari maana na mimi nina maumivu ki keii yaani...Njoo Usa riva joooh
Alikuletea umbwira huyo chaliaraa....temana naye Bablai. [emoji23]Mimi msela alinichukulia alafu ni chalii wangu wa tokea utotoni asee.
Kumuuliza chalii siunajua huyu manzi ni wangu eroo? Akajibu
"Manzi kanikubali mwenyewe chalii"
Ikabidi nijikate tu alolo nikajiona fara ila manzi akaanzanga leta shobo baada ya muda nikaona huyu hajui kama mimi mkora!? nikamkata shavu kwa kumgonga rafiki yake wa karibu sana alipojua mpaka leo sijawahi kusikia pang'ang'a yoyote.
Acha pang'a ng'a bas ww mama yeyo!!Mambo yangu yanakuhusu nini
Hatariiii sana Unge lala nae mbeleAling'ang'ania nibadirishe katiba iwe ya serikali moja but mpango wang ilikua kuongeza zwe tatu.
So uko singleAlirudi kwao na mimi sikuwa tayari kumfuata