Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
Huyo mnyakyusa wa kwanza kusikiaanataka mnyakyusa mwenzake!!!
 
Asee eroo kama ni hivyo uli react vizuri...poa haina pang'ang'a but ile kikawaida utakua unaumia ile kisoro asee...anyway uko wapi tupeane angalau kirikuu cha safari maana na mimi nina maumivu ki keii yaani...Njoo Usa riva joooh
Saizi nipo joto city arif. Of course nilipataga wenge flani baada ya hiyo makitu kutokea maana walinikata stimu na nlikua namsarandia huyo manzi mbayaaaa yani kikuzi.

Ila basi maumivu yalikuja kata ado ado niamuona soro tu na yule chalii nae nikamuona ni waki nikatupa kule
Asee eroo kama ni hivyo uli react vizuri...poa haina pang'ang'a but ile kikawaida utakua unaumia ile kisoro asee...anyway uko wapi tupeane angalau kirikuu cha safari maana na mimi nina maumivu ki keii yaani...Njoo Usa riva joooh
 
Kwanza alikuwa mpole sana nikadanganyika na upole wake kumbe ni Malaya hakuna mfano hanywi pombe lakini kazi yake kutembea na barmaids nilimvumilia kwa kuwa nampenda lakini siku hiyo alinichosha alipotaka tujaribu mlango wa nyuma ilibidi nitafute njia ya kutokea
 
Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
mimi tuliachana kwa sababu nilimwambia rafiki wangu wa kiume kwamba nimemgegeda na uyo rafiki yangu akaambia wengine adi ikamfikia yeye tukashindwanaa
 
Back
Top Bottom