Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Wangu alikuwa na kiburi dharau na kujiona ni mzuri na kwamba ataolewa saa yoyote motokeo ujana unazidi kumuacha kilometres zinaenda hana mbele wala nyuma
 
Wangu alikuwa na kiburi dharau na kujiona ni mzuri na kwamba ataolewa saa yoyote motokeo ujana unazidi kumuacha kilometres zinaenda hana mbele wala nyuma
Ina maana mzimu bas maana atakosaje kuwa na mbele au hata nyuma. Mkuu kamwangalie vzr
 
Mi wangu alikuwa Anataka kuwa baba Mimi niwe mama mtoto mmoja wa kimachame nikasema biashara ya kupandwa kichwani siiwezi tupa kule NB wamachame wa uongo point to take
 
alikua fala, anashkiliwa akili na best zake, upuuzi anaoshauriwa huko kuhusu wanaume anakuja kureact kwangu, 2nagombana.. nkaona icwe tabu endelea kuskiza hao mabest.. mtu mzima ila hajitambui. yani kwa kifupi ni alikua fala.

asante.
 
Back
Top Bottom