Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Mpe tu..hakuna namna
 
Nikupe pongezi ulimvumilia haswa
 
MPE tu maana huna maamuzi ndo maana unaomba ushauri kwa jambo ambalo tayari umefanya maamuzi ya kumpa,mkuu sample yako ndo huwa wanateswa sana Na wanawake!!
Tatizo nikiwa peke yangu akili yangu huwa inaafiki maamuzi bora kabisa! Hata hivyo tukishakutana tu na kuanza kunikumbatia basi huwa nashindwa kabisa kufanya maamuzi sahihi....jamani msaada wa mawazo ni muhimu sana hapa...
 
1. Wivu
2. Ub abaifu
3. Mchoyo
4. Nilijisikia tu
5. Nilimchoka
6. Dume Suruali
Yaani tabia zote hizo alikua Nazo na bado ulikua unampa!? Lol wanawake sie tuna moyo sana
 
Wangu wivu ulizidi nakaguliwa simu, anani control niongee na nani nsiongee na nani, spies kila kona hata ckuwa najua mwisho wa siku kani surplise na pasi ya moto mpka leo nna kovu zaidi kataka nichoma kisu, nikaona oh ibaki story tu... mwaka sasa nafurahia matokeo ya uhuru, am free again [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Pesa yako mtumie Mama yako huko kijjn koromije
 
hongera sana mkuu..nimejifunza kitu kutoka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…