Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

daah mwanaharamu kabisa yule sijui kwanini hata umenikumbusha, ila ndie aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza kunitoa........ yangu, ila niliachana nae kwasababu alikuwa anapenda sana mademu tena ambao nimewazidi viwango na kibaya zaidi alikuwa anawajaza na mimba juu kabisaaaa !! uvumilivu ulinishinda asee maana kama ningeendelea kuwa nae ningeletewa watoto kama kijiji niwalee
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nlikua nampa pesa vzuri, ila alkua anataka anfanye babake, tukichat nkiulza maswali ya maana magum anapotea ila majibu ya maswali spati....tukieka appointment haendi na mda
 
Yan reason yako ndo ya kwangu cjui kwa nn hawa mabint wa kisabato wako hivi
 
View attachment 501552
Duniani kuna watu wachafu hivyo!!! Ata kama ni mchafu jamani, ukifika sehemu ya mtu msifa basi jifanye na wewe msafi... Alijibweteka ata kabla hajapata ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Yaani ni mdada mzuri kwa sura hata umbile, kama wasemavyo watu/wahenga kuwa mwanamke mzuri hakosi kasoro.....na huyu alizidi uchafu kila idara....papuchi, mdomo, nguo za siri, ila hanuki kwapa tu maana anatumia deodorant.
 
lakini mkuu,si ungemuelimisha tu hayo mambo ya usafi?


Vitu vingine si rahisi kumuambia mtu mzima mwenzio ila unafanya vitu kwa vitendo ili akuige ama ajuwe nini kinakuchukiza. Nilikuwa namnunulia deodorants na perfume na nyumbani nilikuwa na extra miswaki mipyaaaa ili isiwe kisingizo kwake kutosafisha kinywa chake, lakini wapiiii. Anaweza kuja nyumbani akakuta nafanya usafi, yeye anakimbilia chumbani kuwasha TV na kubadili nguo huku akiongea na marafiki zake. Ilinilazimu aondoke tu.
 
wachaga unawasingizia...nimezaliwa uchagani na nimekulia uchagani lkn kule hakuna mambo ya ushirikina mkuu.


Kwa sababu umekuzwa from mtoto toka huko, hivyo ilikuwa si rahisi wewe kufanywa msukule kwani ulikuwa hauna kitu na utoto wako.
 
kanipuuzia tu....biz huwa haziiishi! hatumi msg hapigi cm na ukipiga anapokea anasema yuko biz ukituma msg anajibu short! mmembeleza sana nmemuuliza sana naona hanipi jibu linaloeleweka! nami nmempotezeaaa mwezi sasa
 
Nimecheka sana. Hivi kwa nn hii mbinu mnaipenda? Y usimwambie tu mm sitaki mazoea na wewe[emoji12]


Sikia jje's sie wanaume tuko tofauti sana na nyie kina Mama japo mnatusingizia kuwa hatuna huruma. Ni vigumu sana kwa mwanamme kumfukuza mwanamke ndani ya nyumba yako kama ni mpenzi wako na amekutembelea. Mimi nilikuwa nafanya vitu kwa vitendo hoping atashikwa na haibu ila wapiiiii.
 
alikuwa ananitishia mara kwa mara kuniacha nikaamua kumpiga chini mazimaaa....baadae akaanza kulia et alikuwa ananipimaaa
 
Back
Top Bottom