Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Ohoo poleMimi niliachwa sababu nimekuwa mgumu kutoa hela,
Wakuu mmeshaona wapi mvuvi ambaye anampa chambo samaki ambae ameshamvua.
No sorry maana nilikuwa nataka niachwe maana sitaki kugandwa wakati nina mke.Ohoo pole
Kumbe [emoji16][emoji16] ulimuambia kuwa ushaoa lkn?No sorry maana nilikuwa nataka niachwe maana sitaki kugandwa wakati nina mke.
Ulimuambia au uli'walk away kimya kimya?Nililchoka tu
Nilianza kupunguza mawasiliano nlivoona haelewi nikamwambia tu kuwa i need to be alone,ilikuwa ngumu mwanzo kuelewa but ilifika kipindi akaelewa kila mtu akala corner yake.Ulimuambia au uli'walk away kimya kimya?
Mmmmh kwa afadhali aendelee kukula bila ndoa , aiseeAlitaka kunioa nikamwambia No!
Ndio nilimuambia, Mimi siwezi kumkana mkewangu kwa mchepuko au mtu yoyote,Kumbe [emoji16][emoji16] ulimuambia kuwa ushaoa lkn?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una foleni ndefu sana eeehSasa hapa tunataja sababu za yupi maana duuuh!!!
Safi. Ni bora mtu aujue ukweli aamue mwenyewe nje au ndani.Ndio nilimuambia, Mimi siwezi kumkana mkewangu kwa mchepuko au mtu yoyote,
Ukiuliza nakuambia Nina mke, tena bahati nzuri wanawake wote huwa hawasahau kuuliza Hilo swali.
Ilo ni tatizo kubwa sana, kwa wasichana wanataka wajione wasaidizi wa family. Kumbe wanatuletea stress kubwa ktk ndoaAlikuwa mzigo usiobebeka, ni kiombi kupindukia. Cha kusikitisha sasa, wakati mwingine alikuwa anaomba pesa ili asaidie majirani zake. Alikuwa anapenda sana kujionyesha kwa wenzake kuwa ana uwezo wakati alikuwa kiombi tu.
Hatuna Cha kupoteza maana ME tulio oa tunapenda kupigwa vibuti kwa moyo wa dhati kabisa ili tubaki njia kuu.Safi. Ni bora mtu aujue ukweli aamue mwenyewe nje au ndani.
Mlikuwa mnaishi pamoja au kila mmoja kapanga kivyake?Nimeachana na wengi sijui nianze na nani, ila huyu wa juzi nimeachana nae kwa sababu anataka kunifanya niwe namlisha yeye na familia yake
Kuna wanawake hawapendi kudate married men. Ni bora mwanamke ajue kama mwanaume ana ndoa ama vipi aamue mwenyewe sasa shida kuna wanaume huwa wanadanganya madai yao wakisema ukweli watakataliwa. Na wakipewa wanasahau na familia hawa sijui nawaweka kundi gani.Hatuna Cha kupoteza maana ME tulio oa tunapenda kupigwa vibuti kwa moyo wa dhati kabisa ili tubaki njia kuu.
Sema ndo ivo KE hawajali Kama tunapita tu wanatupa mbususu Sasa tufanye?
Hao Ni kundi la mafala.Kuna wanawake hawapendi kudate married men. Ni bora mwanamke ajue kama mwanaume ana ndoa ama vipi aamue mwenyewe sasa shida kuna wanaume huwa wanadanganya madai yao wakisema ukweli watakataliwa. Na wakipewa wanasahau na familia hawa sijui nawaweka kundi gani.
Huyu binti aliolewa na mwanaume mmoja Mbeya mjini akaachika kwa sasa yupo kwao kwa mamaake, mahusiano yetu yalianza 2021 August nilijitoa sana juu yake, mwezi December mambo yangu hayakuwa sawa hata akitaka hela nikimwomba asubiri kidogo anakuwa na malalamiko kibao, kumbe hata nnachotoa analea familia yake mamaake, mdogo wake na mwanae jumla watu wanne akawa anaforce nimpe hela ukisema sina tatizo nikaona nimpunguzeMlikuwa mnaishi pamoja au kila mmoja kapanga kivyake?
Yupi Mkuu,huyo wa mwisho anayegongwagongwa hovyo?Kama ni huyo,utamgonga,umuache,siku hizi kazalishwa,masela wanajigongeagongeaNipe namba yake niwasaliane nae aje kanisani kwangu nimuombea
Hakika yesu kristo ni mkombozi
Hapana, wawili tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una foleni ndefu sana eeeh