Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Ndio nilimuambia, Mimi siwezi kumkana mkewangu kwa mchepuko au mtu yoyote,
Ukiuliza nakuambia Nina mke, tena bahati nzuri wanawake wote huwa hawasahau kuuliza Hilo swali.
Safi. Ni bora mtu aujue ukweli aamue mwenyewe nje au ndani.
 
Alikuwa mzigo usiobebeka, ni kiombi kupindukia. Cha kusikitisha sasa, wakati mwingine alikuwa anaomba pesa ili asaidie majirani zake. Alikuwa anapenda sana kujionyesha kwa wenzake kuwa ana uwezo wakati alikuwa kiombi tu.
Ilo ni tatizo kubwa sana, kwa wasichana wanataka wajione wasaidizi wa family. Kumbe wanatuletea stress kubwa ktk ndoa

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Safi. Ni bora mtu aujue ukweli aamue mwenyewe nje au ndani.
Hatuna Cha kupoteza maana ME tulio oa tunapenda kupigwa vibuti kwa moyo wa dhati kabisa ili tubaki njia kuu.

Sema ndo ivo KE hawajali Kama tunapita tu wanatupa mbususu Sasa tufanye?
 
Hatuna Cha kupoteza maana ME tulio oa tunapenda kupigwa vibuti kwa moyo wa dhati kabisa ili tubaki njia kuu.

Sema ndo ivo KE hawajali Kama tunapita tu wanatupa mbususu Sasa tufanye?
Kuna wanawake hawapendi kudate married men. Ni bora mwanamke ajue kama mwanaume ana ndoa ama vipi aamue mwenyewe sasa shida kuna wanaume huwa wanadanganya madai yao wakisema ukweli watakataliwa. Na wakipewa wanasahau na familia hawa sijui nawaweka kundi gani.
 
Hao Ni kundi la mafala.
 
Mlikuwa mnaishi pamoja au kila mmoja kapanga kivyake?
Huyu binti aliolewa na mwanaume mmoja Mbeya mjini akaachika kwa sasa yupo kwao kwa mamaake, mahusiano yetu yalianza 2021 August nilijitoa sana juu yake, mwezi December mambo yangu hayakuwa sawa hata akitaka hela nikimwomba asubiri kidogo anakuwa na malalamiko kibao, kumbe hata nnachotoa analea familia yake mamaake, mdogo wake na mwanae jumla watu wanne akawa anaforce nimpe hela ukisema sina tatizo nikaona nimpunguze
 
Nipe namba yake niwasaliane nae aje kanisani kwangu nimuombea

Hakika yesu kristo ni mkombozi
Yupi Mkuu,huyo wa mwisho anayegongwagongwa hovyo?Kama ni huyo,utamgonga,umuache,siku hizi kazalishwa,masela wanajigongeagongea
 
Back
Top Bottom