Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Aisee Kuna mwanamke ninataka kumuacha ila namuonea Huruma, Yaani yeye ndio alianzisha mada za kuachana na Mimi nikanza kutembea nazo, nikamwambia fresh tu tuachane, Cha ajabu baada ya siku moja akaanza kuniita Baby tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikua anatikisa kiberiti[emoji23]
 
Yaani we acha tu, tena siku hizi ndiyo wamezidi. Kila mtaa omba omba kibao, cha kushangaza hata wake za watu nao wamegeuka kuwa wagogo. Kwa kweli Ustawi wa Jamii inabidi waingilie kati hili suala la mke wa mtu kugeuka omba omba maana wanadhalilishwa sana huku mitaani. Unakuta mwanamke ana michango zaidi ya 10 lakini uwezo wa kulipia hiyo michango hana na ndiyo maana anakuwa changudoa wa siri. Sasa uje kukutana na hivi videmu vya vyuo vikuu, utalia. Hawa badala ya kusoma muda wote wanawaza kuwa na wanaume lukuki ili watambiane kwa kuomba mizinga na eventually kuambukiza wenzao magonjwa. Sijuwi tunakwenda wapi na hawa wanawake!
 
Wanawake kama hao muwe mnaweka alama fulani wanaume wenzako wasikutane naye.
 
Nlimuumiza sana uyu mwanamke na ninampenda mpk kesho ila kilichotokea si mimi kupanga ila dah...nlipata transfer ya Moshi kwenye project flan kama ya miaka miwil hivi nikakaa mwaka wa kwanza fresh bas nikaanzisha mahusiano na mdada wote tupo kwenye Iyo project jst kuliwazana no future duh wiki ya pili tu ya mahusiano yetu kitu mimba kutoa demu kagoma af sikua na mpango nae ata chembe na akafanya juu chini uyo mwanamke wangu ajue kua nimempa mimba...[emoji22]

Dah aisee...
 
Wakati mwingine wanatumiaga madawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna madawa jombaa inatokea unammanya au kumuelewa binti wa mtu mazima. Unakuta msela amempenda demu then yeye anamchukulia poa, au binti kaelewa tu copy ilitolewa na wazazi wako kafa mazima..

Ukipendwa with no reason kuna urahisi wa kuachwa pia with many reason
 
Hadi leo hujaoa?
 
sijawai kuachana na mwanamke kwa sababu ila ni mda tu ukifika naachana nae sihitaji sababu yoyote maana nikitokea sababu naweza kumuumiza
 
Aisee Kuna mwanamke ninataka kumuacha ila namuonea Huruma, Yaani yeye ndio alianzisha mada za kuachana na Mimi nikanza kutembea nazo, nikamwambia fresh tu tuachane, Cha ajabu baada ya siku moja akaanza kuniita Baby tena [emoji23][emoji23][emoji23]

Amebip ukampigia hahaha. Ndio dawa yao
 
Watu wanamiliki basi zaidi ya sita za mkoa SAsa hapo atamuelezea yupi
 

Hawa wako wengi sana zama hizi. Ukishaona dalili za demu kutaka kuwa na maamuzi juu yako? Au anajiona bora kuliko ww ? Bale out. She is a bad news
 
ilifika muda nataka kuoa, mwenzangu hakua tayari, wala ckumuacha nilitafuta kitoto cha kitanga nikaoa zangu. akajiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…