Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Aisee Kuna mwanamke ninataka kumuacha ila namuonea Huruma, Yaani yeye ndio alianzisha mada za kuachana na Mimi nikanza kutembea nazo, nikamwambia fresh tu tuachane, Cha ajabu baada ya siku moja akaanza kuniita Baby tena 😂😂😂
 
Niliachana na demu wangu wa kimeru alikuwa pisi Kali kweli ana tako alipotezaga simu yake akaomba nimchangie laki moja akanunue, Mimi nikamwambia nataka sex ndio natoa hela bila Hilo hapana, demu akasema ukajitambulishe Kwanza kwetu ndio nipo tayari kusex naww nikamuuliza lini nikajitambulishe akasema wa 4,eeh bwana si nikatoa hela baada ya kuipata tu demu akaniambia hayupo tayari kuolewa na Hana hisia na Mimi wakati nimemuhudumia vitu kibao
Huo ufala wa kuhudumia malaya huwa sinaga aisee
 
Me nlikua na jamaa mmja basi siku kaja nyumbani kwangu tukala akasepa.....badae akanitumia sms ety me siwezani na mm kwanza hatuendani we mwenzangu umepanga nyumba kubwa siwez hata kukulipia pesa ya kodi miez minne......eeh nkasema lahaula lakwata

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Bora alieleza ukweli uliopo moyoni mwake maana mwisho ni ungekuja kumuuliza kwa mizinga ya laki laki. Amejiepushia maumivu ya kuachwa akaamua akuache wewe ..which is not a bad thing tbh.

Wanaume huwa sio wabahili tukiwa na pesa ila tukiwa hatuna na jinsi wanawake mnavyo-demand pesa kwenye mahusiano ndipo mnapotuita mabahili.
 
Mchafu na kiombi mno....kila siku ana matatizo tu mpaka nikawa najiuliza huyu zwazwa alikuwa anaishije kabla ya kuwa na mimi. Nikamtosa ili awapelekee wanaume wengine matatizo yake. Mtu ana wazazi na ndugu anashindwa nini kuwaomba?
Hakuna mwanamke anakera kama omba omba aisee (except mke/mama wa nyumbani). Unakuta ndo mmeanza mahusiano utamskia , nimepata msiba kama uko poa nichangie elfu kumi ya nauli, ukimwambia sasa hv siko poa kuna mishe naiskilizia...utashangaa mfululizo wa sms, vp mbona umenidanganya?, mara mbona hujanitumia hiyo pesa? , kimya? Utanitumia saa ngapi?

Usipomtumia anakukasirikia hata kukujulia hali hataki mpk umtafute yeye...!!!

Tena unakuta daily anafanya kazi na anapata pesa.
 
Demu Wangu mie alizidi uchafu wa sehemu za siri na alikuwa hapendi kujituma. Hapendi kufanya kazi, lazy, mbea, kila kukicha yuko facebook na Insta kujibandika mapicha wakati hana issue yeyote. Anaweza piga mswaki sasa hivi, baada ya dakika 10 huwezi ongea naye jinsi anavyotoa harufu kama vile kala mavi.
Alikuwa na tonsil stones , tatizo linatibika hospitalini kiurahisi kabisa, kuna mchizi wangu alikuwa na hilo tatizo kiasi ukiongea nae unageukia pembeni, nikamfahamisha tatizo lake akaenda hospitali alitibiwa na likaisha kabisa . Now ana comfidence hata ya kuongea na wanawake
 
Mkuu alikuwa na matatizo mengine,ila hilo la ndizi ndo lilikuwa deal breaker
Tatizo huko alipolelewa washazoea tu kula ugali maharage na wali kabichi bila ya kitoweo ( nyama/samaki). Siku nyingine ungekuta kakupikia ugali na matembele huku nyama kaiacha kwenue jokofu
 
M
Kuna siku huyo ex wangu aliniomba hela ya kusukia. Wakati ananiomba nilikuwa mkoa tofauti na tunapoishi nikamwabia nimesahau ATM yangu mza subiri baada ya siku 3 nkirudi ntakutumia nkamueleza nilikuwa na kiasi kidogo tu kisingetosha kwa mizunguko niliyokuwa nayo nkimtumia. Kesho yake nilipompigia akaanza dharau ooh wenzio washanitumia hela ya kusuka na picha ukitaka nakutumia whatsapp. Wakati najieleza nkasikia akinisonya kwa sauti ya chini na kusema "go to hell". Alidhani sitayasikia lakini nikawa nimesikia nikasema whaaaaaaat?!! Akasingizia ni maneno ya kwenye movie. Mi nkamuuliza movie gani hiyo hebu ongeza sauti nisikie mbona alihaha akaanza halooo halooo mtandao unasumbua! Tangu siku hiyo nilimuona mtu asiyenifaa ktk maisha yangu hasa ndoa kwani tulipanga kuoana mwezi wa 7 mwaka huu. Nilimpotezea mazima japo alipiga simu sana kuomba msamaha nkampotezea mazima mpaka leo.
Mshukuru sana Mungu alikubainishia mapema kabla hujajifunga kitanzi cha maisha!!! Mwanamke mpenda pesa ni adui wa maisha ya mwanaume
 
Nyumba ulopanga ilimtisha akahisi invoice zako zitampasua kichwa [emoji23][emoji23]

Ila alikosea kuaga mashindano kabla ya kuichakata mbususu
[emoji1787][emoji1787]me naona ni bora tu alinikimbia mapema..... Sema siku hizi nkiulizwa nasema naish kwetu.... Naogopa kuachwa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Bora alieleza ukweli uliopo moyoni mwake maana mwisho ni ungekuja kumuuliza kwa mizinga ya laki laki. Amejiepushia maumivu ya kuachwa akaamua akuache wewe ..which is not a bad thing tbh.

Wanaume huwa sio wabahili tukiwa na pesa ila tukiwa hatuna na jinsi wanawake mnavyo-demand pesa kwenye mahusiano ndipo mnapotuita mabahili.
Mim nafanya vibiashara vyangu kakodi kangu nakalipa mwenyewe.... Yeye tu kutokujiamini

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom