Black Panther X
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 230
- 659
Nataja ninazokumbuka
- Kuna aliejazwa hofu na wachungaji wa kilokole kuhusu mapenzi kabla ya ndoa kufunga maisha ya mtu. Hapo tayari tushakuwa having sex kwa zaidi ya mwaka ndio analeta habari hizo ongeza na nilikataa kumpa mil kadhaa kwa ajili ya biashara yake nilivyoona analeta maluweluwe.
- Kuna wa vibomu kila siku chache.
- Kuna wengine walikuwa binti wazuri tu ila nikaachana nao nisiwapotezee muda kwani wanataka marriage na mimi hilo silioni bado.
- Kuna mmeru mmoja huyu kwa kweli alinitingisha mimi. Ilibidi nipate therapy maana dah. Hadi leo najiulizia ni mimi yule wa kukosa usingizi kisa msichana dah! Haha
- Wengine wa short term na kuchokana tu so unapotea katika picha taratibu bila ugomvi.