Kitimoto ni ghali sana. Inategemea uko vijiwe Gani na wanaandaa Kwa utalamu Gani. Sasa nenda zenji, wanakula wenye pesa tu.Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei rahisi kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Kitimoto ya wapi imekuwa cheap siku hizi my wetuMi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei rahisi kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Wapi huko kitimoto ni bei rahisi kuliko beefMi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei rahisi kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Cheap low quality meat ndio maana China nyama ya mdudu ndio the cheapest meat kuliko beef,seafood na kuku.Ukishabugia mataputapu unabwabwaja tu, umeshawahi kujiuliza kwa nini bei ya kitimoto ni expensive na huwa haishuki?
Kwa chakula chochote ni mapishi wewe kama unakula kiti moto kwa wasiojuwa kuiandaa hizo ni shida zako.
Kiti moto ni white meat na mafuta yake hayana chlorestol, unaelewa hii ni nini maana yake?