Leo kwa mara ya tatu kujaribu Kitimoto nikajua kwanini haipendwi

Leo kwa mara ya tatu kujaribu Kitimoto nikajua kwanini haipendwi

Mkuu acha uongo,kitimoto ni maarufu Tanzania nzima dar ikiongoza. Kusema kwamba dar sio maarufu hio ni maajabu ya dunia. Wanaopinga kitimoto sio waislam pekee hata wasabato hawali. Acha kujisingizia ukatoliki mkuu
Watu wengi wanaopinga Kitimoto ni waislamu pia kuhusu Dar naongelea mazingira ya Dar Kitimoto sio maarufu sana hivo inaweza ikawa sababu ya kutoipenda sababu sijakulia nayo. Ukienda Iringa Kitimoto ni nyama maarufu na inapatikana Kila chochoro.
 
Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.

Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.

Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu

Kwanza sio lazima ule kila kitu, and secondly kitimoto sio cheap, kilo moja dar ni elf 16
 
Umelewa mataputapu, mpaka mdomo umekosa taste ? Utaijua ktmt wewe?
 
Ukishabugia mataputapu unabwabwaja tu, umeshawahi kujiuliza kwa nini bei ya kitimoto ni expensive na huwa haishuki?

Kwa chakula chochote ni mapishi wewe kama unakula kiti moto kwa wasiojuwa kuiandaa hizo ni shida zako.

Kiti moto ni white meat na mafuta yake hayana chlorestol, unaelewa hii ni nini maana yake?
Huyu kala ile ya mafungu inauzwa buku buku pande kubwaa mara nyingi unakuta nile ya kichwa 😄
 
Huyu kala ile ya mafungu inauzwa buku buku pande kubwaa mara nyingi unakuta nile ya kichwa 😄
Ndio sababu anakuja kujambajamba hapa.

Mwambie aje Bush baby akute vipub vya kitimoto wanavyoshindana mapishi na mchicha kwa wingi offer.
 
Kua na heshima kwa mdudu kijana, yaani comments zote hamna hata moja inayokusupport ndio ujue hilo ni tatizo binafsi.

Tatizo ni kua umeanza kuila ukubwani na pia ushazoea shombo la nyama ya mbuzi na mifupa laini ya broiler ila mdudu ni hatari aisee.
 
Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.

Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.

Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Huyo mnyama ni kwa ajili ya kipindi Cha njaa ule ili usife .... ila walafi watakupinga
 
Back
Top Bottom