Leo kwa mara ya tatu kujaribu Kitimoto nikajua kwanini haipendwi

Hahahaha kala hizo kitimoto kwenye Vilabu vya Ulanzi huyo wakati anakunywa Mkangafu.

Yule mnyama sio mchezo ndio maana dini nzima wanamshambulia lakini jamaa bado amenona tu.
 
Anashangaza huyu mtu.
 
Nje ya mada kwani ukatoriki na kukulia dar vinahusiana vipi na kitimoto? Watu wa dar huwa hawali kitimoto?
Watu wengi wanaopinga Kitimoto ni waislamu pia kuhusu Dar naongelea mazingira ya Dar Kitimoto sio maarufu sana hivo inaweza ikawa sababu ya kutoipenda sababu sijakulia nayo. Ukienda Iringa Kitimoto ni nyama maarufu na inapatikana Kila chochoro.
 
Mwamba huwa umenyokaa balaa😂
 
Ulishawai kutembea mataifa ya ulaya na Asia kama China,?

Ama matembezi yako ni Charambe!
 
Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, bei kuwa cheap kwa kitimoto, sababu ni kuwa wanafugwa kwa wingi.

Ila bado imechangamka pia
Iringa, Mbeya, Njombe na Ruvuma ipi? Huku nyanda za juu kusini tunanunua mnyama Tsh 12,000 hiyo bila kukaangwa ila iliyokaangwa ni 14,000/=. Njoo Mbeya hapa Soweto au Nenda Iringa pale Mabanda ya CCM ulizia bei ya Kitimoto.

Acha blah blah dogo.
 
Jamaa, siku ukiwa Arusha nenda mianzini pale karibu na ofisi mpya za BM kuna bar jirani. Wanachoma mdudu pale.
Utaleta mrejesho mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…