Wewe achana nayo, endelea na ng'ombe, mbuzi, ngamia nk. Tuachie mduduMi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Wewe acha kuongea vitu usivyovijua. Biashara yetu ya kitimoto inadoda mwezi wa Ramadhani halafu unakuja kuleta shombo zako hapaπ‘Watu wengi wanaopinga Kitimoto ni waislamu pia kuhusu Dar naongelea mazingira ya Dar Kitimoto sio maarufu sana hivo inaweza ikawa sababu ya kutoipenda sababu sijakulia nayo. Ukienda Iringa Kitimoto ni nyama maarufu na inapatikana Kila chochoro.
Sijawahi sweetheart...Ushawahi jaribu hio makitu lo???ππβΊοΈ
Unajua maana white meat? Pork is scientifically red meatUkishabugia mataputapu unabwabwaja tu, umeshawahi kujiuliza kwa nini bei ya kitimoto ni expensive na huwa haishuki?
Kwa chakula chochote ni mapishi wewe kama unakula kiti moto kwa wasiojuwa kuiandaa hizo ni shida zako.
Kiti moto ni white meat na mafuta yake hayana chlorestol, unaelewa hii ni nini maana yake?
Zanzibar kilo 25,000/-, ng'ombe 12000/-Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Njooni muone mwingine kashiba mataputapu huku.Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Jadda as jd, hapo kagusa ikulu yakoπ€£πKijana we sema tu una yako mengine ila hapo kwenye ladha umepuyanga, kama unaweza kula hadi mbuzi yenye shombo kali sembuse huyo mdudu, halafu unaposema haipendwi unamaanisha haipendwi na wangapi, na una uhakika hao wanaosema hawaipendi hawali kweli, au unasikiliza maneno tu
Huu mwandiko wa madrasaMi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Wewe sio Mkristo bali ni Mkristo jina tu kwa kuwa baba yako ni Mkristo na mama yako ni mfuasi wa mbakaji (Mudi). Kwa kifupi wewe ni mfuasi wa Mbakaji, mama yako alishampa limbwata Baba yako na ndio maana wote mkawa watoto wa mama.Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu.
Ila sababu ya ulevi wangu na udadisi wangu nishajaribu Kitimoto choma,makange na kukaanga ila kusema kweli nyama ya mdudu ni low quality,tasteless and bland tofauti na ng'ombe au mbuzi.
Nyama ya mdudu IPO Kwa ajili ya kutibu njaa njaa yako ukilewa ila sio mchongo na sababu IPO cheap ndio maana watu wanaipenda. Nina uhakika na Imani laiti mdudu angekua na bei ghali kama Beef au Mutton hakuna mtu angekula. Nyama ya nguruwe mbaya ***** hata iwekwe au ipikwe vipi. Ebu wadau semeni maoni yenu
Huyo mdudu ana harufu mbaya kuanzia zizini hadi jikoni,tofauti na mbuzi, ng'ombeKijana we sema tu una yako mengine ila hapo kwenye ladha umepuyanga, kama unaweza kula hadi mbuzi yenye shombo kali sembuse huyo mdudu, halafu unaposema haipendwi unamaanisha haipendwi na wangapi, na una uhakika hao wanaosema hawaipendi hawali kweli, au unasikiliza maneno tu
Wakristu wa bongo kula nguruwe ni uchamungu kisa haram kwenye uislamWewe sio Mkristo bali ni Mkristo jina tu kwa kuwa baba yako ni Mkristo na mama yako ni mfuasi wa mbakaji (Mudi). Kwa kifupi wewe ni mfuasi wa Mbakaji, mama yako alishampa limbwata Baba yako na ndio maana wote mkawa watoto wa mama.
Baba yako hana kauli juu ya mama yako kwa kuwa alishalishwa limbwata kitambo, ndio maana watoto wote mmekuwa mazezeta.
ππππππππ