Leo kwa mara ya tatu kujaribu Kitimoto nikajua kwanini haipendwi

Huyo mdudu ana harufu mbaya kuanzia zizini hadi jikoni,tofauti na mbuzi, ng'ombe
Acha kufananisha huyo mdudu na vitu vya ajabu, yani kabisa unafananisha shombo la mbuzi na la mdudu au mwenzetu unakula mbuzi wa aina gani, hakuna mnyama asiye na harufu mbaya wanazidiana tu ila tukija kwenye suala la upikaji ni ishu nyingine
 
Huo ni ushoga tu uliokujaa, maana harufu ya mbuzi na ng'ombe Wala nayo sio nzuri wakiwa zizini ila tunavumiliaga tu, sema kipendacho roho ni dawa.
 
Acha kufananisha huyo mdudu na vitu vya ajabu, yani kabisa unafananisha shombo la mbuzi na la mdudu au mwenzetu unakula mbuzi wa aina gani, hakuna mnyama asiye na harufu mbaya wanazidiana tu ila tukija kwenye suala la upikaji ni ishu nyingine
Mbuzi hana harufu mbaya,akichomwa ile harufu nuksi,ukiwa na ndimu na pilipili balaa,akipikwa supu na chapati mbili na ndimu na pilipili,habari yake unaijua
 
Mbuzi hana harufu mbaya,akichomwa ile harufu nuksi,ukiwa na ndimu na pilipili balaa,akipikwa supu na chapati mbili na ndimu na pilipili,habari yake unaijua
Nafikiri ungesema tu kwamba unalipenda lile shombo la mbuzi mkuu, mtu akipenda chongo huita kengeza hivyo ungeeleweka tu, lakini kusema kwamba mbuzi hana harufu mbaya ni kujitoa ufahamu tu
 
Mdau ulikula nyama ya mbuni, hukula kitimoto. Au bas, km ni kitimoto utakua na shida ya kuskia ladha mkuu.

🤣😄Nenda hospitali ukacheki
 
“Nyama ya kitmoto bei rahisi ila km isingekua bei rahisi watu wasinge itumia”
Baada tu yakusoma ayo maneno nikajua kbsa ulichoandika ukijui
 
Huijui kitimoto weweee...!!!
 
Nakula mdudu ila hapa umepuyanga Kitimoto ni red meat
 
Mnapiga story mambo ya mbuzi na kitimoto mambo ya maakuli maakuli tumboni wengine yanalia gruuuuu gruuuu 😢
 
Dah huu Uzi umenikumbusha ngoja niweke order ya kuchoma pale Mapinga, huyu mwenye Uzi katumwa hajui kuhusu hii nyama pendwa dumiani
 
Mwezi wa mfungo huu, mkatoliki unaongelea vyakula!
 
Nafikiri ungesema tu kwamba unalipenda lile shombo la mbuzi mkuu, mtu akipenda chongo huita kengeza hivyo ungeeleweka tu, lakini kusema kwamba mbuzi hana harufu mbaya ni kujitoa ufahamu tu
We jamaa bana,pole sana,hebu agiza mbuzi online afu nipe majibu
 
We jamaa bana,pole sana,hebu agiza mbuzi online afu nipe majibu
Kijana mbuzi haiwezi kufikia mdudu katika namna yoyote ile bila kujali upikaji, uzuri wa mdudu hata akipikwa vibaya analika ila mbuzi akikosewa tu basi, watu wanaopenda mbuzi ni wapenda shombo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…