Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Nabii janja janja
Nimeacha mbegu huko [emoji23]Mshana wewe moro kwenu tangu lini?
Moro ya kwetu sieee mji wetu ndio ulikua kitivo cha starehe miaka ya zamani na ndio asili ya chips mayai huko. Sanaa na wasanii wengi wametokea au kujikuza kisanii moro
Sema waluguru ndio wanafanya mji ubaki hivyo hivyo miaka kenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mluguru? Maana hao wanaweza kukusema mpaka ukafaNimeacha mbegu huko [emoji23]
Hapo afadhali ila kama ame adopt tabia za huko unalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana na mhamiaji lakini sio haramu[emoji1544][emoji23]
Kuwa wa pili ndiyo kushinda!!?...Madrid bingwa wa UEFA,yule aliyecheza nae fainali alishinda UEFA!?alikuwa wa pili! Alifika fainali
Kwa hiyo Liverpool alishinda UEFA 21/22 kwa kuwa alicheza fainali!?Alishinda, labda hukumbuki vzr, alikuwa MSHINDI wa pili kama sikosei.
Namaanisha hakuwa mshindwa.[emoji4][emoji4]
John Dilinga, DJ JD Matloo.kulikuwa na double D and Super Ngedere washindi wa disco.
Waganga pigeni pesa soko ni kubwa nchiniMm naomba nisaidie namba ya mganga yoyote anaeweza kuleta utajiri au anaeweza kunisaidia biashara iwe ina wateja sana au niwe na nyota ya hela msaada tafadhar awe anatokea maeneo ya tunduma,mbeya,igawa,makambako sanasana hayo maeneo ila hata akiwa kwingne sawa tu.