Leo kwetu Morogoro historia inajirudia lakini pia historia ni mwalimu mzuri

Leo kwetu Morogoro historia inajirudia lakini pia historia ni mwalimu mzuri

Majuzi nimemshuhudia hapo Samaki Samaki, akishangiliwa kabisa Kwa nguvu na mashabiki wake.... Na akapata nafasi ya kuwahutubia mashabiki wake hapo! Hakika lilikuwa vibe Sana.... Alikonga Sana nyoyo za mashabiki....

Na alisindikizwa na Mpoki, Tajiri la kihaya sambamba na Oscar Oscar, Mzee wa Kaliua....

Hakika "Mandonga mtu Kazi"....

Big up kwake....
 
Sijafika Morogoro tangu mwaka 2001. Je bado maji yanatililika milimani kama enzi zile? Hasa maeneo yale ya Magadu.
The same as me niliondoka morogoro 2002 nikarudi 2020 kwakweli mji umebadilika saana.

Nakumbuka Ile morogoro ya matonya pale darajani fidodido ...
 
Mm naomba nisaidie namba ya mganga yoyote anaeweza kuleta utajiri au anaeweza kunisaidia biashara iwe ina wateja sana au niwe na nyota ya hela msaada tafadhar awe anatokea maeneo ya tunduma,mbeya,igawa,makambako sanasana hayo maeneo ila hata akiwa kwingne sawa tu.
Njoo inbox Ila uwe na hela
 
Kweli zamani. Saiv njia ya dom ndio kumekua mji sasa. Kule town kwa hovyo vile vile
Yes. Njia ya dodoma pamejengeka saana. Nakumbuka those years back huko kihonda nyumba zilikuwa za mbali mbali saana. Daladala kulikuwa hamna.

Watu tunatembea Kwa mguu from mafiga paka mjini
 
Back
Top Bottom