WaleteWaganga pigeni pesa soko ni kubwa nchini
The same as me niliondoka morogoro 2002 nikarudi 2020 kwakweli mji umebadilika saana.Sijafika Morogoro tangu mwaka 2001. Je bado maji yanatililika milimani kama enzi zile? Hasa maeneo yale ya Magadu.
Njoo inbox Ila uwe na helaMm naomba nisaidie namba ya mganga yoyote anaeweza kuleta utajiri au anaeweza kunisaidia biashara iwe ina wateja sana au niwe na nyota ya hela msaada tafadhar awe anatokea maeneo ya tunduma,mbeya,igawa,makambako sanasana hayo maeneo ila hata akiwa kwingne sawa tu.
Kweli zamani. Saiv njia ya dom ndio kumekua mji sasa. Kule town kwa hovyo vile vileThe same as me niliondoka morogoro 2002 nikarudi 2020 kwakweli mji umebadilika saana.
Nakumbuka Ile morogoro ya matonya pale darajani fidodido ...
Yes. Njia ya dodoma pamejengeka saana. Nakumbuka those years back huko kihonda nyumba zilikuwa za mbali mbali saana. Daladala kulikuwa hamna.Kweli zamani. Saiv njia ya dom ndio kumekua mji sasa. Kule town kwa hovyo vile vile