Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!

'si bora muninyonge'...!!
KKKKKMMMMMKKKK ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Natafuta Hoja yako ya msingi katika hiki ulichokiandika siioni sana sana naona blah...blah... nyingi tu.
 
Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!

'si bora muninyonge'...!!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mkuu kwa kweli unacho kipaji cha uchekeshaji. Daah nimecheka mpaka chozi linalilenga lenga machoni.
Na tutakunyonga ukiwa na mume wa hivyo ๐Ÿคฃ
 
punguza wivu wa kiha...
 
MBUMBUMBU mna kazi sana.
 
halafu utakuta ni mwanaume kabisa na vuzi zako mk*ndn umekaa na kujipinda kuandika huu utopolo acha wivu boy tutatatua linda hizo[emoji35]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ