Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......

Aliona Waah ya The African G O.A.T DIAMOND PLATINUMZ imevunja record ya Africa na yeye akataka atbelee Ile upepo Sasa audio tu ni utopolo fc[emoji23][emoji23][emoji23]

Sukari ya ZUCHU ni Mara 100 ya wimbo huu mpya wa NANDY maana hauna maajabu,ZUCHU the East African Queen anampa presha huyu NANDY.

Ko kiukweli currently hakuna msanii wa kike namba moja zaidi ya ZUCHU na pia ZUCHU ni Bora Mara 100 zaidi ya NANDY.

ZUCHU Yuko full package Kwanza ni composer,singer, songwriter,dancer, performer, investor and proficiency both in English and Swahili language rather than any female artist in East Africa.
Zuchu ni mwimbaji mwenye sauti nzuri ya kuvutia ila :-

Hebu naomba unijibu maswali mawili tu:

Zuchu ameinvest wapi mpaka ukamwita Investor?

Zuchu ana profession ipi ya hizo lugha mbili mpaka umwite proficiency?
 
Kumlinganisha Nandy na Zuchu mashavu ni kumkosea heshima Nandy
 
Dogo umekosa posho baana bos zako wanakufatilia wamekupa bando alafu mada imefeli kuponda
FB_IMG_16126190743001391.jpg
 
Mimi huwa nasema wanawake mna huruma Sana.

Eti utakuta mleta mada nae ana demu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni serious issue mkuu.. Huyu ni mmoja wao, mwanaume yuko kakalisha mapumbu anaimba sukari halafu anajilamba lamba yuko na earphones, huku akijitingisha kidogo wowowo lake la kiume ...hapo mezani kuna chipsi zege la kutosha anashushia na savanna

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa wakigoma tuwasamehe bure, kuna mkigoma mmoja anatamani kumzalia diamond japo yeye ni wa kiume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikute ndo huyu mtoa uzi.
 
Back
Top Bottom