Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Sawa Baba levo tumekusikia. Vipi umeshajifungua wale mapacha watatu , uliotutangazia utamzalia mondi?
Inawezekana ni baba levo huyu ..nyuma panawasha ile mbaya sio kwa mahaba haya, Mara zuchu, Mara nasibu nyange ..
 
mimi sio shabiki sana wa miziki hii ya vijana wa kizazi cha social media. nimeisikiliza wimbo mpya wa nandy akimshirikisha koffi olomide, ukweli ni wimbo wa kawaida sana.

no hate feelings.
 
mimi sio shabiki sana wa miziki hii ya vijana wa kizazi cha social media. nimeisikiliza wimbo mpya wa nandy akimshirikisha koffi olomide, ukweli ni wimbo wa kawaida sana.

no hate feelings.
Wimbo wa kawaida...alichoharibu mtoa mada kwenye bandiko lake ni hiyo kumpigia promo huyo mwingine
 
Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......

Aliona Waah ya The African G O.A.T DIAMOND PLATINUMZ imevunja record ya Africa na yeye akataka atbelee Ile upepo Sasa audio tu ni utopolo fc[emoji23][emoji23][emoji23]

Sukari ya ZUCHU ni Mara 100 ya wimbo huu mpya wa NANDY maana hauna maajabu,ZUCHU the East African Queen anampa presha huyu NANDY.

Ko kiukweli currently hakuna msanii wa kike namba moja zaidi ya ZUCHU na pia ZUCHU ni Bora Mara 100 zaidi ya NANDY.

ZUCHU Yuko full package Kwanza ni composer,singer, songwriter,dancer, performer, investor and proficiency both in English and Swahili language rather than any female artist in East Africa.
Kofi kajivunjia heshima bure.... Ngoma ya hovyo kabisa
 
Vijana wa kiume siku hizi mnatuangusha sana,unakuta janaume zima linaimba sukari nailamba......kweli? Hata kujiuliza maudhui ya wimbo hamreason.........aibu sana,wanaume tumebaki wachache sana
Sasa kama wanakwanguliwa (kucha )huku wananyonya bidhaa ile pendwa kwa bila wasiwasi hupita na kuwaambia bado wanja tu hapo.
 
Back
Top Bottom