Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Eric Choupo Moting yupo kwenye timu kubwa lakini uwezo mdogo.
 
Tatizo la Nandy siyo mtunzi mzuri , na pia yupo under high pressure Sana ya mtoto Zuchu ambaye Mwenyezi Mungu mashairi anayahifadhia pale[emoji39].... Connection anapata kuzitumia sasa Tangu ruge asepe daaah anahangaika Sana ..... Alaf asiwe anawatumia hao porn star akina Mwijaku kumpigia promo hawafai wanaongeza maadui
Fact wanampoteza sana ZUCHU pale ndo kichwa cha mashairi Tanzania nzima[emoji3514][emoji3514][emoji3514]
 
Vijana wa kiume siku hizi mnatuangusha sana,unakuta janaume zima linaimba sukari nailamba......kweli? Hata kujiuliza maudhui ya wimbo hamreason.........aibu sana,wanaume tumebaki wachache sana
Wamekusikia mkuu kunywa maji upoze koo ilo
 
Hii ni serious issue mkuu.. Huyu ni mmoja wao, mwanaume yuko kakalisha mapumbu anaimba sukari halafu anajilamba lamba yuko na earphones, huku akijitingisha kidogo wowowo lake la kiume ...hapo mezani kuna chipsi zege la kutosha anashushia na savanna

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigoma independent sifa zetu wanakigoma mnazijua show show bonge sawa kapunguze mwili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom