Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huyu ni dada kama wewe ila hasafiri to the moon.Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!
'si bora muninyonge'...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni dada kama wewe ila hasafiri to the moon.Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!
'si bora muninyonge'...!!
😂😂😂Huyu ni dada kama wewe ila hasafiri to the moon.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] una nini wewe?Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!
'si bora muninyonge'...!!
Acha bangi kijana mimi ni shabiki makini na shabiki mziki mzuriHuyu anaweza kuwa Juma Lokole!
Hakuna kitu ni utopolo tuMm cjausikiliza huo wimbo, ebu tuwekee hapa tuone kama unayoyaongea yapo au figisu tu[emoji16]
Na ndevu ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha haaaaa! Nimecheka sana Mkuu! By the way wanaume hatupo hivyo, huyu yungali mvulana bado, msamehe bure.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha makasiriko hii ni 2021Hao ni Timu Mavi ,wanapewa laptop simu za mkononi na wanawekewa bando ili kuwasifu na kuwapamba wasanii wao.
Thread ya Nandy lakini Ndani content yote anamsifu Zuchu.
Sawa Steve the simple boySawa Eric Omond
Tuliza boriHakukosea aliye imba wanaume kama mabinti ndiye huyu sasa.
Sasa Nani wa dsm...? [emoji24][emoji24][emoji24]Hiv wanawake WA dar Hua mnahesabu
Mko na wanaume hapo dsm??
Mmmmh mbona umeipa nyingi sana hiyo ni 1.5/10 rateKajitahidi kwa upande wa sikio langu 7/10.