Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Kwa taarifa yako tuu. Huo wimbo umerekodiwa 2019 kama sikosei.
 
Mbona ni buzuki la nguvu tu, tena linafaa kabisa kushushia na bia.
 
Tatizo la Nandy siyo mtunzi mzuri , na pia yupo under high pressure Sana ya mtoto Zuchu ambaye Mwenyezi Mungu mashairi anayahifadhia pale😋.... Connection anapata kuzitumia sasa Tangu ruge asepe daaah anahangaika Sana ..... Alaf asiwe anawatumia hao porn star akina Mwijaku kumpigia promo hawafai wanaongeza maadui
 
halafu utakuta ni mwanaume kabisa na vuzi zako mk*ndn umekaa na kujipinda kuandika huu utopolo acha wivu boy tutatatua linda hizo[emoji35]
 
Back
Top Bottom