Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Mie hizo comments tyuuh, niko hoi lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unavyo sema nandi hamna kitu sijui tumepigwa utafikiri labda ulitoa sehemu ya udhamini. Nilisoma sehemu nandy ametumia zaidi ya 70million kwa huu wimbo tu,
Kama wimbo ni mbaya platforms zitaamua zenyewe, wabongo tuache roho mbaya Nandy anaishi maisha mazuri kwaajili ya mziki, au ulitaka awe Fundi cherehani,na tunaopenda mziki mzuri hatuchagui wanamziki
 
Hii ni serious issue mkuu.. Huyu ni mmoja wao, mwanaume yuko kakalisha mapumbu anaimba sukari halafu anajilamba lamba yuko na earphones, huku akijitingisha kidogo wowowo lake la kiume ...hapo mezani kuna chipsi zege la kutosha anashushia na savanna

Sent using Jamii Forums mobile app
Eyce nilikuambia mdogo wangu..!
 
Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......

Aliona Waah ya The African G O.A.T DIAMOND PLATINUMZ imevunja record ya Africa na yeye akataka atbelee Ile upepo Sasa audio tu ni utopolo fc
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Sukari ya ZUCHU ni Mara 100 ya wimbo huu mpya wa NANDY maana hauna maajabu,ZUCHU the East African Queen anampa presha huyu NANDY.

Ko kiukweli currently hakuna msanii wa kike namba moja zaidi ya ZUCHU na pia ZUCHU ni Bora Mara 100 zaidi ya NANDY.

ZUCHU Yuko full package Kwanza ni composer,singer, songwriter,dancer, performer, investor and proficiency both in English and Swahili language rather than any female artist in East Africa.
True ni mmbaya wala hauleweki hata mimi siuelewi kama hajui amefanya tokonyonyo mara watu wanapiga makelele huyo producer hajitambui pia ni mvuta bangi mzuri katengeneza nini sasa .
 
Tatizo anataka kushindana na SIMBA wapi na wapi? ebu shindana na wanawake wenzio mama. When you fight fire with fire someone is going to get burned
 
Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......

Aliona Waah ya The African G O.A.T DIAMOND PLATINUMZ imevunja record ya Africa na yeye akataka atbelee Ile upepo Sasa audio tu ni utopolo fc[emoji23][emoji23][emoji23]

Sukari ya ZUCHU ni Mara 100 ya wimbo huu mpya wa NANDY maana hauna maajabu,ZUCHU the East African Queen anampa presha huyu NANDY.

Ko kiukweli currently hakuna msanii wa kike namba moja zaidi ya ZUCHU na pia ZUCHU ni Bora Mara 100 zaidi ya NANDY.

ZUCHU Yuko full package Kwanza ni composer,singer, songwriter,dancer, performer, investor and proficiency both in English and Swahili language rather than any female artist in East Africa.
Sawa lokole ..
 
Zuchu ni mwimbaji mwenye sauti nzuri ya kuvutia ila :-

Hebu naomba unijibu maswali mawili tu:

Zuchu ameinvest wapi mpaka ukamwita Investor?

Zuchu ana profession ipi ya hizo lugha mbili mpaka umwite proficiency?
Ameinvest kwenye mziki na return inaonekana na pia kwenye uongeaji wake unaonekana sawa kijana wangu
 
Unavyo sema nandi hamna kitu sijui tumepigwa utafikiri labda ulitoa sehemu ya udhamini. Nilisoma sehemu nandy ametumia zaidi ya 70million kwa huu wimbo tu,
Kama wimbo ni mbaya platforms zitaamua zenyewe, wabongo tuache roho mbaya Nandy anaishi maisha mazuri kwaajili ya mziki, au ulitaka awe Fundi cherehani,na tunaopenda mziki mzuri hatuchagui wanamziki
Endelea kukaza fuvu unazania 70m ni matako Kila mtu anayo...? Platform gani kaangalie SUKARI afu uje ushadadie hiyo utopolo ya nandy
 
Back
Top Bottom