Leo Mayele ameonesha ukubwa wake kwenye mechi dhidi ya Mauritania

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki

Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa

Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele

Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana

Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele

Mayele ni bendera ya League yetu
 
Tunajadili hasara...... Tunataka tubandike tangazo la mo passion hadi makalioni tuongeze faida
Hapa tunajadili nini. Nakuuliza mara ya 2. Jibu swali badala ya kuonyesha upumbavu wako. Mbo a nyinyi watu mnakuwa wapuuzi kiasi hiki. Badala ya kujibu swali langu unaleta kejeli.Stop your nonsense adress the subject matter
 
Tunajadili nani mkali kati ya kibu deee na Mayele leta jibu blaza au upewe mji...... Bas nenda singida na kanjibai
Ona huyu punguani kaleta uzi hajui hata anataka kujadili nini. Hili ndilo nilitaka kujiridhisha, asante kwa kuthibitisha
 
Mayele, kabadilisha mengi kwenye ligi yetu...
Kila mchezaji sasa anatafuta, style yake ya ushangiliaji.
Kila mfungaji, anakamia afunge mgoli mengi.
Mayele tutamjengea sanamu lake ๐Ÿ˜Ž
Amebadilisha nini mtani? Au record ipi aliyonayo kwenye ligi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ