Leo Mayele ameonesha ukubwa wake kwenye mechi dhidi ya Mauritania

Leo Mayele ameonesha ukubwa wake kwenye mechi dhidi ya Mauritania

Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki

Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila wabishi ambao hawakucheki game watakataa

Ukubwa wa Mayele umeonekana kwenye dakika ya 80 pale mashabiki walianza kuimba nyimbo za kuomba kocha amuingize Mayele. Uwanja mzima ulikuwa unasema Fiston Mayele Fiston Mayele

Kabla ya Mayele kutua Tanzania league ya Tanzania ilionekana ni dhaifu saana

Nenda kwenye page za Waarabu sasa utakuta wamepost picha za Mayele
Nenda kwenye page za soccer Afrika wamepost picha za Mayele

Mayele ni bendera ya League yetu
Mayele ni nini bro
 
Back
Top Bottom