Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali

Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi

Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila mkataba, Mara Manara anapigiwa Simu kuconfirm kwamba afisa habari wa simba hana gari

Mara zeruzeru anadai Manula kampigia Simu kumbebeleza asajiliwe utopoloni

Leo SAA tatu asubuhi ile redio yenye wachambuzi mashambenga wanaotangaza huku wakijitikisa mabega na vidoti vyao mada in moja kuiua simba na week yote hii makanjanja shughuli waliyopewa ndiyo hiyo

Utasikia afisa habari wa simba hana I phone bwana, kwa nini? Embu tumpigie Manara kupata maoni yake

Screen Shot 2022-03-28 at 11.40.14 AM.png
 
Wameanzisha la kocha
Kila week yenye mechi muhimu nyumbani lazima rushwa inayotoka in kubwa sana kama huamini sikiliza efm Leo uone muelekeo wao halafu kubalance story A kuikandia simba atapigiwa Simu albino.

Majitu ya ajabu sana haya eti huwa yanatoa machozi ya mamba kwa mini teams za bongo hazifanyi vizuri afrika huku week hii wako kazini kuhakiksha hatufuzu
 
Mtoa mada kuwa na akili basi,yaani maneno ya kwenye radio yana madhara gani kwa timu ya simba?

Yaani mtanganzaji akiongea Sana ndo sakho ashidwe kufunga pamoja na kwamba amejiandaa vizuri mazoezini?..

Tshabalalala ashidwe kuzuia mashambulizi ya mpinzani kisa maneno ya kwenye radio?

Binafsi naomba relation kati ya maneno ya mtanganzaji na effect inayotokea kwenye perfomance ya timu ?
 
Media nzima inatumia Dk 45 of kujadili msemaji wa simba kwa mini hana gari na Simu anapigiwa zeruzeru Ku balance story..wajinga wakubwa nyie
Haya Leo SAA tatu tutasikia kwa undanni jinsi manulaa alivyopiga Simu kwa zeruzeru kubembeleza asajiliwe utopoloni
 
Mpira unachezwa kwenye media au uwanjani???

Hii ni dalili simba mnajiandaa kushindwa vibaya mnoo [emoji23]
Yaani maneno ya huyu Kanjanja ndo unayachukulia kama kauli rasmi ya Simba? Huyu ni miongoni mwa wale wachache wasiojua wanataka nini Ila lazima waseme ili wajulikane. Hana jipya zaidi ya kuongeza idadi ya waropokaji. Simba kama timu haitegemei usemaji wa kubahatisha kama huu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada kuwa na akili basi,yaani maneno ya kwenye radio yana madhara gani kwa timu ya simba?

Yaani mtanganzaji akiongea Sana ndo sakho ashidwe kufunga pamoja na kwamba amejiandaa vizuri mazoezini?..

Tshabalalala ashidwe kuzuia mashambulizi ya mpinzani kisa maneno ya kwenye radio?

Binafsi naomba relation kati ya maneno ya mtanganzaji na effect inayotokea kwenye perfomance ya timu ?
Nakazia, atuoneshe cause effect (correlation) ya hayo masuala!
 
Media nzima inatumia Dk 45 of kujadili msemaji wa simba kwa mini hana gari na Simu anapigiwa zeruzeru Ku balance story..wajinga wakubwa nyie
Haya Leo SAA tatu tutasikia kwa undanni jinsi manulaa alivyopiga Simu kwa zeruzeru kubembeleza asajiliwe utopoloni
Hata kama unamchukia Haji Manara kwa kiwango gani! Ila bado ujitahidi kutumia lugha ya staha.

Kumuita jina la 'zeruzeru' kwa sababu tu ya ulemavu wake wa ngozi, kunakuondolea sifa ya kuitwa Great Thinker.

Uzuri Mungu ni Fundi! Na kabla hujafa, basi utambue fika bado hujaumbika.
 
Back
Top Bottom