Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahasha za khaki hamtazila kwa rahaa walahi tenaaaMtoa mada tumia busara futa huu uzi.
Alafu next time jifunze kutofautisha ushabiki wa mpira, ugomvi binafsi, chuki na ubinadamu
HopelessHata kama unamchukia Haji Manara kwa kiwango gani! Ila bado ujitahidi kutumia lugha ya staha.
Kumuita jina la 'zeruzeru' kwa sababu tu ya ulemavu wake wa ngozi, kunakuondolea sifa ya kuitwa Great Thinker.
Uzuri Mungu ni Fundi! Na kabla hujafa, basi utambue fika bado hujaumbika.
shughuli ishaaanza hiyoooooooMtoa mada tumia busara futa huu uzi.
Alafu next time jifunze kutofautisha ushabiki wa mpira, ugomvi binafsi, chuki na ubinadamu
Ujinga ni mzigo, hayo maneno yanaiathiri vipi Simba?Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali
Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi
Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila mkataba, Mara Manara anapigiwa Simu kuconfirm kwamba afisa habari wa simba hana gari
Mara zeruzeru anadai Manula kampigia Simu kumbebeleza asajiliwe utopoloni
Leo SAA tatu asubuhi ile redio yenye wachambuzi mashambenga wanaotangaza huku wakijitikisa mabega na vidoti vyao mada in moja kuiua simba na week yote hii makanjanja shughuli waliyopewa ndiyo hiyo
Utasikia afisa habari wa simba hana I phone bwana, kwa nini? Embu tumpigie Manara kupata maoni yake
View attachment 2166774
Huu upuuzi anaefanya ni kitenge maulid hao wengine unawaoneaKila week yenye mechi muhimu nyumbani lazima rushwa inayotoka in kubwa sana kama huamini sikiliza efm Leo uone muelekeo wao halafu kubalance story A kuikandia simba atapigiwa Simu albino.
Majitu ya ajabu sana haya eti huwa yanatoa machozi ya mamba kwa mini teams za bongo hazifanyi vizuri afrika huku week hii wako kazini kuhakiksha hatufuzu
kawaonye sasa hao watoa bahasha za khaki na hayo makanjanja yaache kama haina faida...kila week ya mechi ngumu za africa hii mambo hufanyika labda kama una akili nzito za kindezi hulionagi hiloUjinga ni mzigo, hayo maneno yanaiathiri vipi Simba?
Hili gazeti nalo lina mhariri kweli? nakuambia shughuli imeanza rasmi leo watu washakula bahsha tangu weekend nyie mnanibishia tu
Mnajisikia raha sana kubweka bweka humu kama mbwa koko. Kila siku ni kubweka bweka tu, kuwakejeli watu, kuwasingizia uongo, na kuwatukana!Hopeless
Na hii nayo tusemeje?Bahasha za khaki hamtazila kwa raga walahi tenaaa
Sasa si uende ukaombe kazi ya uhariri kwenye hilo gazeti ili hao waandishi waandike vile unavyotaka wewe? Huku kubweka bweka humu kunasaidia nini?Hili gazeti nalo lina mhariri kweli? nakuambia shughuli imeanza rasmi leo watu washakula bahsha tangu weekend nyie mnanibishia tu
View attachment 2166881
nimekuambia haya yote yatafanyika hadi jumamosi baada ya simba kufuzu jumapili ikifika jumatatu bahasha za khaki zina seize , tunasubiri tena week ya kufuzu kwenda nusu fainali waje na mengine wazee wa mteremko bahasha za khakiNa hii nayo tusemeje?View attachment 2166893
we ni kubwa jinga kweli hapo chinbi uongozi wa utopolo uko qouted kwamba hakuna wa kumnununa mayele bongo halafu hapo juu tena habari imeandikwa kwa uhakika kabisaaaaaa ikimquote zeruzeru..kudadaeeki walahi hii ni jumatatu kesho tusubiri mengine bahasha za khaki zinatoa watu utu hukuSasa si uende ukaombe kazi ya uhariri kwenye hilo gazeti ili hao waandishi waandike vile unavyotaka wewe? Huku kubweka bweka humu kunasaidia nini?
Hata hao waandishi wasipoandika, Simba ndiyo basi tena. Simba watafungwa 3-0 na USGN kwa Mkapa.Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali
Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi
Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila mkataba, Mara Manara anapigiwa Simu kuconfirm kwamba afisa habari wa simba hana gari
Mara zeruzeru anadai Manula kampigia Simu kumbebeleza asajiliwe utopoloni
Leo SAA tatu asubuhi ile redio yenye wachambuzi mashambenga wanaotangaza huku wakijitikisa mabega na vidoti vyao mada in moja kuiua simba na week yote hii makanjanja shughuli waliyopewa ndiyo hiyo
Utasikia afisa habari wa simba hana I phone bwana, kwa nini? Embu tumpigie Manara kupata maoni yake
View attachment 2166774
Utakuwa una akili kisoda bila shaka! Hayo magazeti mbona ni kawaida sana kuandika taarifa kama hizo, lakini ukisoma ndani unakutana na taarifa tofauti? Na lengo hasa ni kuvutia tu biashara, ili maisha yaendelee mjini!we ni kubwa jinga kweli hapo chinbi uongozi wa utopolo uko qouted kwamba hakuna wa kumnununa mayele bongo halafu hapo juu tena habari imeandikwa kwa uhakika kabisaaaaaa ikimquote zeruzeru..kudadaeeki walahi hii ni jumatatu kesho tusubiri mengine bahasha za khaki zinatoa watu utu huku
we mzeee leo sijakuona kwenye nyuzi kuhusu GSM au ushachoka maana raia wanatema nyongo balaa, umekazania uzi huu kumtetea zeruzeruUtakuwa una akili kisoda bila shaka! Hayo magazeti mbona ni kawaida sana kuandika taarifa kama hizo, lakini ukisoma ndani unakutana na taarifa tofauti? Na lengo hasa ni kuvutia tu biashara, ili maisha yaendelee mjini!
Sisi wakubwa zako tulisha yapuuza kitambo! Sasa wewe umetoka zako Kolomije huko, ndiyo unashupaza shingo kweli kweli! Una shida mahali wewe bila ya kupepesa macho!
usiseme waandishi wewe kuwa na adabu sema MAKANJANJA PRO MAX waandishi ni kama kina jeneral ulimwengu siyo hizo takataka ,simba nakwenda hadi nusu fainali wapende wasipendeHata hao waandishi wasipoandika, Simba ndiyo basi tena. Simba watafungwa 3-0 na USGN kwa Mkapa.
Sasa Simba ifuzu robo fainali kwa timu ipi? Au umejisahaulisha hata kwenye makundi imeingia kimagumashi? Msingewachezesha wale Wazambia kwenye mvua walikuwa wanawamaliza mapema tu.Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali
Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi
Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila mkataba, Mara Manara anapigiwa Simu kuconfirm kwamba afisa habari wa simba hana gari
Mara zeruzeru anadai Manula kampigia Simu kumbebeleza asajiliwe utopoloni
Leo SAA tatu asubuhi ile redio yenye wachambuzi mashambenga wanaotangaza huku wakijitikisa mabega na vidoti vyao mada in moja kuiua simba na week yote hii makanjanja shughuli waliyopewa ndiyo hiyo
Utasikia afisa habari wa simba hana I phone bwana, kwa nini? Embu tumpigie Manara kupata maoni yake
View attachment 2166774
hizi habari za kimataifa bora nibishane na namungo na biashara maana atleast kwa hii mika 5 wanajua nini maana ya kucheza kimataifa siyo wehu wanaopigwa nje ndani asubuhi mapeeeema OUT walichobakiza ni kutembeza mabahasha ya khaki utadhani ma messenger wa BOTSasa Simba ifuzu robo fainali kwa timu ipi? Au umejisahaulisha hata kwenye makundi imeingia kimagumashi? Msingewachezesha wale Wazambia kwenye mvua walikuwa wanawamaliza mapema tu.
Hio bahasha ya kaki ina izuia vp Simba kufuzu na ikifuzu ina athirika na nini?kawaonye sasa hao watoa bahasha za khaki na hayo makanjanja yaache kama haina faida...kila week ya mechi ngumu za africa hii mambo hufanyika labda kama una akili nzito za kindezi hulionagi hilo