Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

Sasa Simba ifuzu robo fainali kwa timu ipi? Au umejisahaulisha hata kwenye makundi imeingia kimagumashi? Msingewachezesha wale Wazambia kwenye mvua walikuwa wanawamaliza mapema tu.
Mnapoambiwa nyie ni hamnazo muwe mnakubali. Zambia wao mvua huwa hazinyeshi? Una uhakika gani kwamba hiyo timu huko kwao haijawahi kucheza mpira kwenye mazingira ya mvua?
 
Nimeona Hawa EFM sport HQ hovyo kabisa, wao ni kama wapo kwenye bongo movie solon ya mama kimbo!!! EFM ni shilawadu kabisaaaa!!!

Wawaige

Clouds sports round up/ Sports extra wanachambua vizuri Kwa weledi mpaka unajifunza kitu hasa technically

Pia UFM radio wako vizuri Sana mpaka huchoki kuwasikiliza.
 
Hio bahasha ya kaki ina izuia vp Simba kufuzu na ikifuzu ina athirika na nini?
Kalipeni deni LA mtibwa na zile teams 15 mafala waluovalishwa logo miezi sitaa bila kulipwa mnaaibisha mababa ya watu yamekuwa addicted na bahasha zenu hata akili kidogo walizojaliwa na mungu zishapotea
 
Nimeona Hawa EFM sport HQ hovyo kabisa, wao ni kama wapo kwenye bongo movie solon ya mama kimbo!!! EFM ni shilawadu kabisaaaa!!!

Wawaige

Clouds sports round up/ Sports extra wanachambua vizuri Kwa weledi mpaka unajifunza kitu hasa technically

Pia UFM radio wako vizuri Sana mpaka huchoki kuwasikiliza.
Sasa huyo Shaffi Dauda kuna analolijuwa kwenye mpira?
 
Hata kama unamchukia Haji Manara kwa kiwango gani! Ila bado ujitahidi kutumia lugha ya staha.

Kumuita jina la 'zeruzeru' kwa sababu tu ya ulemavu wake wa ngozi, kunakuondolea sifa ya kuitwa Great Thinker.

Uzuri Mungu ni Fundi! Na kabla hujafa, basi utambue fika bado hujaumbika.
Lugha yetu inamaanisha Haji ni zeruzeru ndio kibantu
 
Nimeona Hawa EFM sport HQ hovyo kabisa, wao ni kama wapo kwenye bongo movie solon ya mama kimbo!!! EFM ni shilawadu kabisaaaa!!!

Wawaige

Clouds sports round up/ Sports extra wanachambua vizuri Kwa weledi mpaka unajifunza kitu hasa technically

Pia UFM radio wako vizuri Sana mpaka huchoki kuwasikiliza.
Aiseee efm inasikitisha sana siku kitenge anakomalia gari LA msemaji waaa simba Dk 40 nzima hadii anampigia Simu albino eti kumuuliza utadhani huo ujinga waa fake chats za WhatsApp hawakutengeneza wao
 
Ile redio wajinga sana. Michezo na uchambuzi ni redio mbili tu clouds na UFM basi.
 
Aiseee efm inasikitisha sana siku kitenge anakomalia gari LA msemaji waaa simba Dk 40 nzima hadii anampigia Simu albino eti kumuuliza utadhani huo ujinga waa fake chats za WhatsApp hawakutengeneza wao
Bora usikilize redio Tumaini michezo kuliko EFM
 
Tulieni mshonwe mbwa nyie,lazima mpigwe,media ndo zinacheza uwanjani?
 
Mtoa mada kuwa na akili basi,yaani maneno ya kwenye radio yana madhara gani kwa timu ya simba?

Yaani mtanganzaji akiongea Sana ndo sakho ashidwe kufunga pamoja na kwamba amejiandaa vizuri mazoezini?..

Tshabalalala ashidwe kuzuia mashambulizi ya mpinzani kisa maneno ya kwenye radio?

Binafsi naomba relation kati ya maneno ya mtanganzaji na effect inayotokea kwenye perfomance ya timu ?
Sio kila propaganda inawekwa kwa lengo la kuwa affect wachezaji, hata mashabiki pia

Halafu umezungumzia katika angle moja tu ya physically na kusahau damage ya maneno kwenye mentality
 
Inatosha kujua huna akili hata ya kujua tu maana nguvu ya maneno.
Mtoa mada kuwa na akili basi,yaani maneno ya kwenye radio yana madhara gani kwa timu ya simba?

Yaani mtanganzaji akiongea Sana ndo sakho ashidwe kufunga pamoja na kwamba amejiandaa vizuri mazoezini?..

Tshabalalala ashidwe kuzuia mashambulizi ya mpinzani kisa maneno ya kwenye radio?

Binafsi naomba relation kati ya maneno ya mtanganzaji na effect inayotokea kwenye perfomance ya timu ?
 
Mpira unachezwa kwenye media au uwanjani???

Hii ni dalili simba mnajiandaa kushindwa vibaya mnoo 😂
Duuuu nawe umeingia kwenye mtego huu??? Swali hili lilitakiwa kuuliswa na darasa la nne. Kwahiyo hayo maneno kisaikolojia hayana uhusiano kwel???
 
Inatosha kujua huna akili hata ya kujua tu maana nguvu ya maneno.
Kabisa mkuu, huyu jamaa hajui jinsi maneno yalivyo na nguvu. Hata Arsenal akicheza na Mbeya city kutokana na nguvu ya maneno, Arsenal wakisakamwa kwa maneno wanafungika tu na Mbeya city. Maneno yana nguvu sana
 
Kabisa mkuu, huyu jamaa hajui jinsi maneno yaliyo na nguvu. Hata Arsenal akicheza na Mbeya city kutokana na nguvu ya maneno, Arsenal wakisakamwa kwa maneno wanafungika tu na Mbeya city. Maneno yana nguvu sana
Wanamuharibia biashara mwenye radio yake. Kwani aliwaajili kwaajili ya mipasho au kufanya kipindi Kwa weledi?

Mtu katafuta mradi apige pesa, mnataka kumuharibia

Sorts HQ watangazaji wote foolish kabisa
 
Inatosha kujua huna akili hata ya kujua tu maana nguvu ya maneno.
We ndo huna akili,yaani maneno ya jamaa wachache ndo waifelishe timu?

Unajua kuwa watu wote waliofaulu katika nyanja mbalimbali za maisha hapo mwanzo walisemwa sana.

Yesu alisemwa sana,Mohammad alisemwa sana lakn wali focus na malengo yao,hivi katika dunia ya leo utafanya kipi usisemwe?

Maboss ofisini wansemwa lakn Kama una akili timamu focus na ambition zako.

Weak people ndo wanaondolewa kwenye reli za focus za maisha yao na maneno ya watu,lakn hakuna mtu aliyefanikiwa na hakuwahi kusemwe na watu...kwangu mm hayupo.
 
Back
Top Bottom