Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

Mtoa mada tumia busara futa huu uzi.

Alafu next time jifunze kutofautisha ushabiki wa mpira, ugomvi binafsi, chuki na ubinadamu
 
Hopeless
 
Ujinga ni mzigo, hayo maneno yanaiathiri vipi Simba?
 
Huu upuuzi anaefanya ni kitenge maulid hao wengine unawaonea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni mzigo, hayo maneno yanaiathiri vipi Simba?
kawaonye sasa hao watoa bahasha za khaki na hayo makanjanja yaache kama haina faida...kila week ya mechi ngumu za africa hii mambo hufanyika labda kama una akili nzito za kindezi hulionagi hilo
 
Sasa si uende ukaombe kazi ya uhariri kwenye hilo gazeti ili hao waandishi waandike vile unavyotaka wewe? Huku kubweka bweka humu kunasaidia nini?
we ni kubwa jinga kweli hapo chinbi uongozi wa utopolo uko qouted kwamba hakuna wa kumnununa mayele bongo halafu hapo juu tena habari imeandikwa kwa uhakika kabisaaaaaa ikimquote zeruzeru..kudadaeeki walahi hii ni jumatatu kesho tusubiri mengine bahasha za khaki zinatoa watu utu huku
 
Hata hao waandishi wasipoandika, Simba ndiyo basi tena. Simba watafungwa 3-0 na USGN kwa Mkapa.
 
Utakuwa una akili kisoda bila shaka! Hayo magazeti mbona ni kawaida sana kuandika taarifa kama hizo, lakini ukisoma ndani unakutana na taarifa tofauti? Na lengo hasa ni kuvutia tu biashara, ili maisha yaendelee mjini!

Sisi wakubwa zako tulisha yapuuza kitambo! Sasa wewe umetoka zako Kolomije huko, ndiyo unashupaza shingo kweli kweli! Una shida mahali wewe bila ya kupepesa macho!
 
we mzeee leo sijakuona kwenye nyuzi kuhusu GSM au ushachoka maana raia wanatema nyongo balaa, umekazania uzi huu kumtetea zeruzeru
 
Hata hao waandishi wasipoandika, Simba ndiyo basi tena. Simba watafungwa 3-0 na USGN kwa Mkapa.
usiseme waandishi wewe kuwa na adabu sema MAKANJANJA PRO MAX waandishi ni kama kina jeneral ulimwengu siyo hizo takataka ,simba nakwenda hadi nusu fainali wapende wasipende
 
Sasa Simba ifuzu robo fainali kwa timu ipi? Au umejisahaulisha hata kwenye makundi imeingia kimagumashi? Msingewachezesha wale Wazambia kwenye mvua walikuwa wanawamaliza mapema tu.
 
Sasa Simba ifuzu robo fainali kwa timu ipi? Au umejisahaulisha hata kwenye makundi imeingia kimagumashi? Msingewachezesha wale Wazambia kwenye mvua walikuwa wanawamaliza mapema tu.
hizi habari za kimataifa bora nibishane na namungo na biashara maana atleast kwa hii mika 5 wanajua nini maana ya kucheza kimataifa siyo wehu wanaopigwa nje ndani asubuhi mapeeeema OUT walichobakiza ni kutembeza mabahasha ya khaki utadhani ma messenger wa BOT
 
kawaonye sasa hao watoa bahasha za khaki na hayo makanjanja yaache kama haina faida...kila week ya mechi ngumu za africa hii mambo hufanyika labda kama una akili nzito za kindezi hulionagi hilo
Hio bahasha ya kaki ina izuia vp Simba kufuzu na ikifuzu ina athirika na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…