Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari ya usingle mother inaanza kwake rasmi, Leo hii kuna mtu atafuma meseji za usaliti na violence itafanyika kwa kiwango cha juu.
Shetani awe nanyi wote mliofanya booking toka alfajiri na kusababisha vyumba kujaa kwasababu za ubinafsi wenu wa kwenda kufanya ushenzi huko gesti/lodge na hotel.
Na wote tuseme Amen..
Shetani awe nanyi wote mliofanya booking toka alfajiri na kusababisha vyumba kujaa kwasababu za ubinafsi wenu wa kwenda kufanya ushenzi huko gesti/lodge na hotel.
Na wote tuseme Amen..