Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,749
- 7,945
sasa unataka nini cha ziada tena😀😀😀😀Nina Dofi ya kufulia, Family ya kuogea na Korie ya kupikia.
Mkuu hunitakii mema wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa unataka nini cha ziada tena😀😀😀😀Nina Dofi ya kufulia, Family ya kuogea na Korie ya kupikia.
Mkuu hunitakii mema wewe.
Aisee..Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari ya usingle mother inaanza kwake rasmi, Leo hii kuna mtu atafuma meseji za usaliti na violence itafanyika kwa kiwango cha juu.
Shetani awe nanyi wote mliofanya booking toka alfajiri na kusababisha vyumba kujaa kwasababu za ubinafsi wenu wa kwenda kufanya ushenzi huko gesti/lodge na hotel.
Na wote tuseme Amen..
Movie za Horror izo 😂😂Usije ukanyetuka tuu
Kidogooo tyuuh Co sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umefurahishwa kweli kweli
Kwani hujaona kwenye movie zombie anampiga bj binadamuMovie za Horror izo 😂😂