Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Kwahiyo??
Kwanza wewe ni PIMBI,
Siri za mkeo unatoaje nje.
 
Hapo kama ndio umetapika kwa bahati mbaya mbele ya umati wa watu hawawezi kuelewa kama chakula hicho amekula mtu au kiumbe kingine kinachokula ovyo kama vile nguruwe
 
Sikumwambia sitaki kumdisaapoint atajisikia vibaya ila mimi naona msosi upo fresh comments zenu zinanifanya nianze ku avoid wageni
Hahahahahaha, mkuu be free usiogope wageni wakija watajua bahati mbaya tu mafuta yamekuwa mengi kwa hiyo hiyo. Ila ni bora ukamwambia ukweli
 
Hahaaaa siyo kwa futa hilo yaani ni hatari
Nyanya nazo zimesimama dede hapana kwa kweli
 
Back
Top Bottom