Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Mke.wangu kila jumapili kabla ya church supu ya pweza.....tukirudi supu ya ngisi.....imetengeneza fresh ....baada ya hapo majibu unayo...

Mke lazima awe mbunifu....ndoa itakufaje hapo....alaaaa
 
Nipeni maoni leo
IMG_20180416_151424_168.JPG
 
Back
Top Bottom