Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Wenzio tulianza hivyo hivyo tukatoka mavitambi makubwa sura za duara kama marehemu Mpakanjia. Ukiingia sehemu unaonekana umenawiri kwa misosi isiyo na mpangilio kutoka kwa wake zetu. Kwa sasa tunakula dona tu na mboga za majani za kuchemshwa bila kuungwa sato akipikwa unakula chukuchuku bila kuungwa, afya zimeshaharibika tunapambana na hali zetu. Gym imegeuka kama ni sehemu yako ya kila siku na ukipiga bao moja pressure inapanda huwezi rudia la pili.

Kula mayai na mimafuta hiyo fainali uzeeni. Uzee ni rutuba ya maradhi sumu zote unazokula leo zitakuja kukutokea puani uzeeni.

Angalia avatar yangu ndiko unakoelekea huko
Nafanya sana mazoezi mzee
 
Duuh ndo makorokocho gani hayo jamani? Pole mkuu mkeo kupika ana F yaaani zeeerrrooooo

Kwanza raha ya mayai uyagonge, ukoroge then ndo utie kwenye nyanya hadi yakauke vizuurii!

Sasa hapo unakulaje yai limesimama ivo? Mimi sijaelewa kwa kweli[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kwani ni chakula gani hiko...mm mbona sijaelewa!
 
Afu jina lani ni jini "kisiranii".
Naamini huyu mtu anatumia jinsia isiyo yake humu ndani ila uandishi umemuumbua
Kuna watu sijui mna matatizo gani. Naamini utakufa siku sio zako. Jinsia yangu wewe inakuhusu nini. Na ukijua jinsia yangu utafaidika vipi. Wewe soma comment zangu na haka hazikuvutii lala mbele.
 
Tukienda kwenye mabanda ya chips me mmejaa humo na vikuku vya wiki 2 sasa hapo tuiteje?
 
Back
Top Bottom