Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Wenzio tulianza hivyo hivyo tukatoka mavitambi makubwa sura za duara kama marehemu Mpakanjia. Ukiingia sehemu unaonekana umenawiri kwa misosi isiyo na mpangilio kutoka kwa wake zetu. Kwa sasa tunakula dona tu na mboga za majani za kuchemshwa bila kuungwa sato akipikwa unakula chukuchuku bila kuungwa, afya zimeshaharibika tunapambana na hali zetu. Gym imegeuka kama ni sehemu yako ya kila siku na ukipiga bao moja pressure inapanda huwezi rudia la pili.

Kula mayai na mimafuta hiyo fainali uzeeni. Uzee ni rutuba ya maradhi sumu zote unazokula leo zitakuja kukutokea puani uzeeni.

Angalia avatar yangu ndiko unakoelekea huko
 
Back
Top Bottom