Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Mke anasifiwa kwa kuweka mafuta mengi kwenye mboga ahaha ama kweli, kumsifia vizuri mwaga mafuta yote ongeza maji kidogo ikiwa jikoni inachemka ndo ule sasa huo msosi wa mkeo maana ni noma na kuoa raha sana.
 
Back
Top Bottom