Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Hahaaaaaa. Kaka mie nahisi itakuwa hakumwambia.
Anasema anaogopa kukwambia atamdisapoint mkewe hata kuwa comfortable tena na mapishi yake, na hapo ndipo anapobomoa na si kujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…