Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] shem huoni utumbo wa ng'ombe kabisa unameremeta kwenye futaWewe jamaa vyakula unavyokula bwana sijui unatoa wapi tu, sasa hizo sio nyama za mamba kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] shem huoni utumbo wa ng'ombe kabisa unameremeta kwenye futaWewe jamaa vyakula unavyokula bwana sijui unatoa wapi tu, sasa hizo sio nyama za mamba kweli?
Mafuta hujaona bby?Nimeona samaki hapo,utumbo,firigisi,na vitu vingine vya ajabu
Sana tu mkuu huyu mwana anatutaka tu usikute ata mke hanaUmeanza kumsoma mkuu si ndiyo??
Nimeona bby si ndio nikajiuliza..hapo kapikiwa mafuta yenye nyama au nyama zenye mafuta??[emoji23] [emoji23]Mafuta hujaona bby?
Hahahaha mkuu akufukuzae hakwambii toka matendo yake tu mwenyewe huyooooo hahahahahaHahah!!
Unipikie hayo madude?
Hahahahaha, kwa hiyo kaamua kumnenepesha??Ishu sio mafuta pekee... naona kuna nyama type mbalimbali. Utumbo, kitimoto, samaki, figo n.k. nadhani kuna ujumbe anakupa. Labda we mwembamba sanaaaaaa
Ndo manake[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha, kwa hiyo kaamua kumnenepesha??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona bby si ndio nikajiuliza..hapo kapikiwa mafuta yenye nyama au nyama zenye mafuta??[emoji23] [emoji23]
Anasema anaogopa kukwambia atamdisapoint mkewe hata kuwa comfortable tena na mapishi yake, na hapo ndipo anapobomoa na si kujenga.Hahaaaaaa. Kaka mie nahisi itakuwa hakumwambia.
Asante kwa ugali mke wangu..nimeshiba vizuri sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu huko ni kutaka kuua kabisa sio kwa diko diko hilo, hapa hakuna kunenepa zaidi ya kutafuta ugonjwa.Ndo manake[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio rafiki. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahah!!
Unipikie hayo madude?
Hata mi nlijuaga ni viazi kumbe mayai hahaaaa mkewe kwa mapishi ni.shidaHivi kumbe hayo ni mayai ni nikajua ni viazi vinavyitumika kwenye chips
Aaghh!! Achana nae na madude yake bhnNdio rafiki. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Huoni mleta uzi kila siku anayarusha huenda ikawa ni matamu.
Hongera mkuu itabidi umwambie Jolie Jolie amkaribishe Mrs Duke Tachez ili aje ajifunze mapishi kidogo.Asante kwa ugali mke wangu..nimeshiba vizuri sanaView attachment 746482
Ndio mkuu..huyu mtoto anapika balaa,,nataka nijitahidi aachane na kuajiriwa amiliki mgahawa wake mjini hapaHongera mkuu itabidi umwambie Jolie Jolie amkaribishe Mrs Duke Tachez ili aje ajifunze mapishi kidogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe jamaa vyakula unavyokula bwana sijui unatoa wapi tu, sasa hizo sio nyama za mamba kweli?
Mie pia nahisi kama anagoogle hayo mapicha.Sana tu mkuu huyu mwana anatutaka tu usikute ata mke hana
Hahahaa. Sawa rafiki.Aaghh!! Achana nae na madude yake bhn