Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Sawa nimekuelewa! Kila mtu anakipenda anachokipenda! Ila sidhani kama kuna mtu anapenda msosi mbaya!

Hapo wifi apunguze mafuta na ajifunze kupika pia ila kakaetu azidi kunogewa!
Naona alitaka kupika roast ya biriani akafail
 
Sawa nimekuelewa! Kila mtu anakipenda anachokipenda! Ila sidhani kama kuna mtu anapenda msosi mbaya!

Hapo wifi apunguze mafuta na ajifunze kupika pia ila kakaetu azidi kunogewa!
kweli,inaonyesha jamaa anadtishwa na wese
 
Watu nao kwani anakula kila siku hivyoo?
 
Umeonaaa hapo ni kupunguza mafuta basi wengine hata kuchemsha yai hawajui tatizo wengi wamezoea kupikiwa mampotompoto
 
Umeonaaa hapo ni kupunguza mafuta basi wengine hata kuchemsha yai hawajui tatizo wengi wamezoea kupikiwa mampotompoto
kweli mkuu kuna tofauti kati ya kuto kujua kitu na kukisahihisha au kukiboresha,sasa huyo mapishi anaboresha tuu sio kuwa hajui kupika
 
kweli mkuu kuna tofauti kati ya kuto kujua kitu na kukisahihisha au kukiboresha,sasa huyo mapishi anaboresha tuu sio kuwa hajui kupika
Ndiyo kabisa mkuu, hapo ni kurekebisha tu, tumpe hongera zake mkuu kwa kuwa na mkewe ajuaye kupika,
wengine utakuta chakula kizuri mpaka wabebane hotelini
 
Yaani unaweza kuta wao huko unavyopikiwa mmm Mungu ndiye ajuaye kwanza wengi wao humu mijini hawajui kupika hata ugali
Mkuu vipi!? Unakaa mitaani nikutumie msosi mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…