Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

Hahahaha mkuu akufukuzae hakwambii toka matendo yake tu mwenyewe huyooooo hahahahaha

Ila najua anakutania mkuu hawezi akakupikia madude kama hayo, kwanza huo ujasiri anautoa wapi?? Eti Sister Hajar Hahahahahaha
Mtoto wa kitanga huyu mapishi anayajua sana tu najua alikua anazingu
 
Hapo kama ndio umetapika kwa bahati mbaya mbele ya umati wa watu hawawezi kuelewa kama chakula hicho amekula mtu au kiumbe kingine kinachokula ovyo kama vile nguruwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee hio mifuta yote ya nini, andaa nauli ya India na hela ya matibabu ya moyo!
 
Back
Top Bottom